Propellerads

Sunday, October 2, 2016

mpoma

picha: bata la diamond na zari huko zanzibar

Propellerads

Picha: Bata la Diamond na Zari Huko Zanzibar


Baada ya kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi wake Zari, staa wa bongo fleva, Diamond Platnumz  akiwa na mcheza danci wake Moses Iyobo ambae ameambatana Aunt Ezekiel wameendelea kula bata visiwani Zanzibar.
Hizi ni baadhi ya picha zao
diamond-10
diamond-9
diamond-8
diamond-7
diamond-6
diamond-5
diamond-4
diamond-3
diamond-2
diamond-1

1 week ago

Bongo5

Picha: Diamond na Zari waendeleza bata lao Zanzibar

Zanzibar kwa wenye fedha zao huweza kugeuka kuwa paradise iliyo chini ya jua. Kwa Diamond, Zanzibar imekuwa ni sehemu muhimu pindi anapotaka kumpeleka mapumzikoni mchumba wake, Zari.
14482765_325944324422569_2369523093447114752_n
Kwa dhoruba kadhaa zilizojaribu kulipiga pendo lao miezi ya hivi karibuni, mapumziko katika fukwe za visiwani humo zenye ukijani unaovutia na upepo mwanana wa bahari ya Hindi, kilikuwa ni kitu walichokihitaji zaidi.
14350800_655042867993320_3104029343639142400_n
Isitoshe, Zari amesherehekea siku yake ya kuzaliwa siku mbili hizi – siku ambayo imemkuta...

1 week ago

Bongo5

Picha: Zari asherehekea birthday yake visiwani Zanzibar

Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.
zari
Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.
zari-2
Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

1 week ago

Bongo5

Utani wa Idris Sultan kwa Diamond na Zari

Kama huwezi utani basi jiweke mbali na Idris Sultan kwa kuwa ipo siku unaweza kujikuta ukifanya kitu usichokitarajia.
hereni
Mchekeshaji huyo ameandika ujumbe wa utani kwa Diamond na Zari kwenye mtandao wake wa Instagram baada ya hivi karibuni kusambaa kwa taarifa kuwa First Lady huyo wa WCB alikuta hereni kwenye chumba cha Diamond ikionekana kuwa alimsaliti na mwanamke mwingine.
“Ndio imeingia na DHL @diamondplatnumz nakupitishia hapo maana umepoteza control mambo yanamwagika hovyo mara hereni...

1 week ago

Bongo5

‘Wenye wivu?’ Zari ajipongeza kwa zawadi ya mjengo toka wa Diamond

Umewahi kumzawadia nini mpenzi wake katika siku yake ya kuzaliwa?
14360086_306931306350181_1439478591564808192_n-1
Tyga alimpa Kylie Jenner gari la kifahari, lakini Diamond kampa Zari mjengo! Ndio maana raia huyo wa Uganda anasema, wenye wivu?
zari

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
 
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :