Aunt Ezekiel Awajibu Wanaodai Anajipendekeza kwa Zari
Malkia wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel amewamind mashabiki katika mitandao ya kijamii ambao wanadai anajipendekeza kwa mama watoto wa Diamond, Zari, baada ya hivi karibuni kuonekana akila nao bata pamoja.
Mwingizaji huyo ambaye alikuwa rafiki wa Wema Sepetu, amesema lazima awe karibu na familia ya bosi wa mume wake kwa kuwa hao ndio waliomwajiri mume wake.
“Nataka niwaambie kitu kimoja maana kujibu mmoja mmoja muda huo sina ni hivi nafanya nitakalo sifanyi mtakayo, maana nina...

5 days ago
Bongo5 27 SepAunt Ezekiel awajibu wanaodai anajipendekeza kwa Zari ‘kwani yule si bosi wa mkata viuno wangu’