Ray C afunguka barua kuwapongeza Diamond na Zari
Ray C amefunguka kwa mara ya kwanza na kutoa kauli yake juu ya couple ya Diamond Platnumz na Zari The Bosslady.
Kupitia mtandao wa Instagram, malkia huyo wa kiuno bila mfupa amedai kuwa uchapakazi wa wawili hao ndio umempelekea azidi kuwapenda.
Seriously Namaste lil bhaia!ngoja niwe mkweli wa nafsi yangu nipate nafuu dude!that Salome of Yours is damn hot!The Powerful couple in this industry kwa sasa bila ubishi wangu ni hawa wachapakazi wawili,bidii katika kila walifanyalo,go...