Propellerads

Sunday, October 9, 2016

mpoma

soma hapa vizuri

PropelleradsRAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESA KILICHOPO MWANDEGE MKURANGA MKOANI PWANI









Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa..
 
 

TIMU YA TAIFA YA ITALIA YALAZIMISHA SARE DHIDI YA HISPANIA

Italia imepambana na kuambulia sare ya goli 1-1 katika mchezo wa kuwania kufuzu kutinga michuano ya kombe la dunia 2018 dhidi ya Hispania kupitia penati ya dakika za mwisho ya Daniele de Rossi. Katika mchezo huo uliochezwa nchini Italia Hispania iliutawala mchezo kwa asilimia 72.4, katika kipindi cha kwanza lakini ilishindwa kufumania nyavu. Hispania..
 


MAJALIWA ATEMBELEA GEREZALA ISANGA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mofisa wa Magereza wakati alipotembelea Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoka kwenye Gereza Kuu la Mkoa wa Dodoma la Isanga wakati alipolitembelea mjini Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi...
  


GAZETI LAIBUA UWEZEKANO WA DONALD TRUMP KUKWEPA KWA HILA KULIPA KODI

Gazeti moja la Marekani limesema limepata nyaraka zinazoonyesha tajiri Donald Trump alitoa maelezo ya kupata hasara ya zaidi ya dola milioni 900 wakati wa malipo ya kodi mwaka 1915 kwa serikali ya Shirikisho. Gazeti hilo la New York Times limesema hasara hiyo ni kubwa mno na inaweza kuwa ilimuwezesha Trump ambaye ni mgombea urais wa Marekani..
 

HAITI NA JAMAICA ZAJIANDAA KWA KIMBUNGA HATARI KIITWACHO MATTHEW

Nchi ya Haiti imeanza zoezi la kuhamisha wakazi waliopo kwenye maeneo hatarishi kutokana na kimbunga kikubwa kiambatanacho na mvua kiitwacho Matthew, kinachotisha kuleta maafa, mafuriko kikiwa na upepe wenye kasi ya kilomita 240 kwa saa. Kimbunga hicho ni kukikubwa kulikumba eneo la Atlantic kwa karibu muungo mmoja, kinatarajia kuikumba Haiti...
 
 

REAL MADRID YAELEKEWA KUANZA KUNOGEWA NA SARE ZA MFULULIZO

Timu ya Real Madrid imeendeleza kukosa ushindi kwa mchezo wa nne baada ya Eibar kuibana na kutoka sare ya goli 1-1 wakiwa nyumbani. Wageni walikuwa wa kwanza kuiduwaza Real Madrid, baada ya Fran Rico kutumia makosa ya ukabaji na kupiga mpira wa kichwa uliompita Keylor Navas. Gareth Bale aliisawazishia Real Madrid katika dakika ya 50, akifunga..

TOTTENHAM YATIBUA REKODI YA MANCHESTER CITY KUTOFUNGWA

Tottenham imemaliza rekodi ya kuanza vyema Ligi Kuu ya Uingereza kocha Pep Guardiola, kwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Manchester City katika dimba la White Hart Lane. Guardiola alikuwa ameshinda michezo yake sita ya awali, lakini katika mchezo wa leo City ilijikuta ikizidiwa kila idara na Tottenham ambao sasa wamebakia kuwa timu...
 

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA GYPSUM DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uzalishaji katika kiwanda cha Gypsum cha Premalt cha mjini Dodoma wakati alipokitembelea Oktoba 2, 2016. (Picha na ofisi ya Wairi Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanayakazi na viongozi wa kiwanda cha Gypsum cha Premalt cha Dodoma wakti alipokitembelea mjini Dodoma Oktoba 2, 2016. (Picha..
 

MAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzanai Mhe.Samia Suluhu Hassan (kulia), akiwa na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu hapa Nchini.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Salvador Antonio Valdes..
 

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAGODORO DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama Spring zinazotumika kutengeneza magoro wakati aliopotembelea kiwanda cha Magodoro Dodoma Oktoba 2, 2016. Kushoto ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho, Haidary Gulamali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodma, Haidary Gulamali,...
 
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :