Propellerads

Sunday, October 9, 2016

mpoma

TUSICHOKE KUJIFUNZA

PropelleradsTusichoke kujifunza.


Ndugu Grasiano Myinga-Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Karibu Tanzania Associatian,akitoa mada katika Mafunzo hayo ya Wanahabari na Wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo nchini.

Wanahabari wakikaribishwa katika mafunzo ya Wanahabari na Wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo(FDC).Mafunzo yanayolenga  kuwapatia uwezo wa kufikisha Habari kwa Jammii kwa haraka zaidi.Mafunzo yanasimamiwa na Shirika la Karibu Tanzania Association(KTA).Mafunzo yanafanyika mkoani Iringa.

KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :