Propellerads

Monday, October 31, 2016

mpoma

soma hii: Kumbe " Uvutaji wa Bangi unaongeza uwezo wa Kuona Usiku "

Propellerads



While previous studies have suggested cannabinoids reduce neurotransmission, researchers now found that activating this type of signalling in tadpoles instead made the retinal ganglion cells more sensitive.

Kama ilivyokawaida ya kwataunit.com kila tupatapo habari mpya hatusiti kukuweka nayo karibu ili usikae nyuma, Sasa kuna tafiti imebaini kuwa uvutaji wa Bangi kunasaidia macho kuweza kuona vizuri nyakati za usiku (Wakati wa Mwanga hafifu)

Watafti kutoka Marekani na Canada wamefanya tafiti hii katika nchi kama Jamaica na Morocco na kubaini juu ya Hili ambapo Wapanda Milima wa Usiku na Wavuvi walithibitisha Juu ya Hili, kuwa kunatofauti walipokuwa wakifanya kazi zao kabla na baada ya kuanza kutumia Bangi.

Mtandao wa Daily Mail umeandika kuhusu Utafiti huu, na kusema kuwa mtu anapovuta bangi basi bangi hiyo ina boost cells ambazo zinasafirisha mwanga kutoka kwenye macho kwenda kwenye Ubongo.

Endelea kukaa karibu na KwataUnit.com Ili uzidi kuwa unapata infos za Kijanja na uhabarike nawe uwahabarishe wenzako
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :