Ikiwa leo ndio kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake raisi wa Manzese, Madee. Tarehe 25 mwezi kama huu, wasanii mbali mbali wametokea kumtakia maisha marefu na wengine kumpongeza kwa njia mbali mbali, ila kwa hii ya Diamond Platnum ni kali kuliko yote, Diamond ameamua kushusha ya kwake yamoyoni kupitia account yake ya instagram, katika kukubali juhudi zake, kama msanii mkongwe na kumshukuru kwa yote.
“Naamini moja ya kitu kinachokufanya uzidi kufika mbali na kufanikiwa zaidi ni jinsi ulivyo na upendo kwa wasanii wote.. hususan upcoming, Nimenza kukuskia kabla sjui lini nami ntakuwa flani hadi leo kufikia hapa lakini skuzote umekuwa ukinisuport tangu naanza hadi sasa na kunielekeza katika kazi zangu mbalimbali… Nakuheshim sana Bro! glad birthday.. Mungu akupe maisha maref yenye amani na mafanikia tele… Eta Tudele!” alimalizia Diamond Platnumz
SOMA HAPA==>HARMS WE GET FROM DRINKING SODA COMMERCIALS HIDE