ZAWADI GANI NZURI ILINGANE NA UPENDO WA MAMA?
Jul 10, 2016
Asante mama kwa kuniweka tumboni mwako miezi tisa
nikanyonya maziwa yako miaka miwili, sina cha kukulipa kwa malezi uliyonilea na kunifundisha kazi mbalimbali zikiwemo za nyumbani na kua na heshima kwa jamii na kutokua na tabia mbaya ikiwemo ya ya udokozi na sasa nafurahia matunda ya riziki halali niipatayo ambayo mungu anaendelea kunijaalia , zaidi. Nakukuombea maisha marefu mungu awe nasi, mama
yangu Mariam Khamisi nakutakia maisha yenye baraka tele.