Propellerads

Tuesday, November 22, 2016

mpoma

Lady Jaydee ajibu tetesi za kurudiana na Gadner

Propellerads

Lady Jaydee ajibu tetesi za kurudiana na Gadner

jaydeeMsanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka kuhusiana na tetesi kwamba amerudiana na aliyekuwa mume wake Gadner G Habash.
jaydee
Aliulizwa swali hilo na mtangazaji Sam Misago katika kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa.
“Watu wengi walinipenda kama nilivyo na hawakunipenda nikiwa na mtu yoyote, sipendi kuelezea mambo yangu binafsi nawaomba watanzania wanipende kama mimi kama Jaydee na si vinginevyo,”alisema Jaydee.
Msanii...

5 months ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu iwapo ni kweli wasanii wanaogopa kumshirikisha sababu nyimbo zao hazitachezwa Clouds FM (Audio)

Kumekuwepo na imani kuwa wasanii wengi wanaogopa kumshirikisha Lady Jaydee kwasababu wanaamini Clouds FM haitoishia tu kutoucheza wimbo huo bali hata zingine zijazo.
13116585_588064311355663_1248451015_n
Clouds FM na Lady Jaydee wana tofauti ambazo hadi sasa hazijamalizika.
Muimbaji huyo wa Ndindindi amefanikiwa kuelezea suala hilo kupitia kituo cha redio cha Nyemo FM cha mjini Dodoma alikoenda kwaajili ya show yake iliyofana ya Naamka Tena Concert.
“Inawezekana pia lakini hawawezi kusema labda moja kwa moja,” Jide alimjibu...

2 years ago

Bongo5

Gadner alitongoza na kuwashika makalio wanawake mbele yangu � Lady Jaydee

Wiki hii Lady Jaydee amewapa nafasi mashabiki wake kumuuliza maswali naye kuyajibu kupitia akaunti yake ya Instagram. Ameulizwa maswali mengi, na miongoni mwa maswali hayo ni la kuhusu ndoa yake na mtangazaji wa Radio E-FM Gadner G. Habash. Haya ni maswali na majibu kama alivyopost Instagram. “Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi? JIBU […]

2 years ago

Vijimambo

Nikifa mazishi yangu nataka yawe ya mwaliko maalum � Lady Jaydee


Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko kama vile harusi zilivyo.
Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.
Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.
“I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa,”...

2 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee afunguka, avunja ndoa na Gadner

Mwanamuziki nyota wa kike nchini, Lady Jaydee jana aliamua kuwaburudisha mashabiki wake kwa staili ya kipekee; kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Gadner Habash

(Yesterday)

Bongo5

Picha: Lady Jaydee amefunga ndoa na rasta huyu?

Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa ni mkubwa.
15047045_585652561635676_7398973322261692416_n
Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari! “Big shout out kwa Coastal air
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,”...
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :