Propellerads

Thursday, November 17, 2016

mpoma

Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo, alikuwemo pia meneja wa Dr. Cheni

Propellerads

Picha 16 za ajali nyingine ya Basi Dodoma leo, alikuwemo pia meneja wa Dr. Cheni

Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.50 PMAliekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia watu wasiozidi watano wamefariki dunia wengine zaidi kujeruhiwa baada ya basi lao kuanguka Mkange Berega.
Basi linaitwa Air Bus na limepata ajali likielekea Dodoma kutokea Morogo na ni baada ya kifaa cha usukani kushindwa kufanya kazi ambapo muda mfupi baadae anasema alisikia tu dereva akipiga kelele na kisha kikafata kishindo, basi likaacha njia na kwenda bondeni.
millardayo.com inaendelea kufatilia ili kupata taarifa kamili ili kujua idadi ya vifo na majeruhi pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.59 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.39 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.32 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.24 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.17 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.09 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.02 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.52 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.41 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.33 PM
Huyu mama ana watoto Mapacha, hapa alikua analia baada ya kushindwa kumuona mtoto wake mwingine.
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.27 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 3.29.59 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 3.30.06 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 3.30.22 PMUnaweza kujiunga na mimi ili niwe nakutumia kila kinachonifikia kwa
 
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :