Propellerads

Thursday, December 22, 2016

mpoma

LAURENT VOCATIONAL TRAINING CENTRE

Propellerads

LAURENT VOCATIONAL TRAINING CENTER
CHUO KIPO KANISA LA MORAVIAN SINGIDA MJINI.
NI CHUO CHA KISASA NA KINACHO MILIKIWA NA MAMLAKA YA MAFUNZO NA UFUNDI STADI ( VETA).

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO KWA FANI ZIFUATAZO KWA MWAKA 2017.

1.INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY  (ICT).......MIAKA 2
2.TAILORING COURSE  (USHONAJI),,,,,,,,,,,,,MIAKA   2

KWA WALE WANAOHITAJI KOZI FUPI ZIPO.KWA GHARAMA NAFUU TU.
1. COMPUTER APPLICATION----- MWEZI MMOJA NA WIKI MOJA-------120,000/=
2.COMPUTER PROGRAMS...........MIEZI 3.      ..........150,000/=
3.UFUNDI WA KOMPYUTA..........MIEZI  3................150,000/=
4. USHONAJI...................................MIEZI   3.................300,000/=

WAHUSIKA :DSRS LA SABA, WAHITIMU KIDATO CHA NNE NA WENGINEO.

FOMU ZINAPATIKANA CHUONI KANISA LA MORAVIAN SINGIDA AU PIGA: 0763652896

SIFA ZA CHUO
1. NI CHUO CHA UHAKIKA KATIKA UTOAJI MAFUNZO
2.KINA VIFAA VYA KUTOSHA KWA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA
3. KWA WALE WANAOTOKA MBALI MIKOANI NA NJE YA SINGIDA NJINI HOSTEL (MALAZI) NI BURE KAZI KWAKO NI KUSOMA TU.
4.CHUO KINAPOKEA WANAFUNZI WA JINSIA ZOTE NA DINI ZOTE.

BAADHI NI PICHA ZINAZOONYESHA MAZINGIRA YA CHUO.











LAURENT VTC NDIO JIBU LAKO SASA.
WAHI NAFASI NI CHACHE.
FIKA AU PIGA: 0763652896 KUPATA FOMU YA KUJIUNGA.


KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :