PICHA 7: Kutoka katika uzinduzi wa siku ya matukio ya msanii kwa mwaka 2016
Usiku wa May 26 2016 katika ukumbi wa Alliance Francoise kupitia Baralaza la Sanaa la Taifa (BASATA) walifanya hafla ya uzinduzi wa matukio wa siku ya msanii kwa mwaka 2016, shughuli ambayo ilihudhuriwa na watu mbalimbali na burudani kutoka vikundi vya sana. Mgeni rasmi alitarajiwa kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mh Nape […]
The post PICHA 7: Kutoka katika uzinduzi wa siku ya matukio ya msanii kwa mwaka 2016 appeared first on MillardAyo.Com.