Propellerads

Thursday, December 29, 2016

mpoma

Bibi aliyekuwa kwenye rekodi ya mtu

Propellerads

Bibi aliyekuwa kwenye rekodi ya mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, kingine kuhusu yeye leo kiko hapa

Misao-Okawa_2840965b
Kuna wakati niliwahi kuhisi kwamba huenda huku kwetu Afrika tunavunja rekodi nyingi sana ila hazipati nafasi kusikika duniani kote kwa sababu nyingi, moja ni ishu ya kutokuwa na utaratibu mzuri wa kuhifadhi kumbukumbu.
Jamii zetu zamani hazikuwa na utaratibu mzuri wa utaratibu huo kwa vile vitu kama vyeti vya kuzaliwa havikuwepo, wenzetu walikuwa na utaratibu mzuri miaka mingi iliyopita hivyo waliweza hata kuitambua siku, tarehe na mwaka aliozaliwa Misao Okawa, ambaye alikuwa kwenye kumbukumbu za Kitabu cha Guiness.
oldest28n-1-webRekodi zilizomuingiza Misao Okawa kwenye kitabu hicho mwaka 2013 ni ile ya mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani pamoja na rekodi ya mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani.
Misao Okawa amefariki akiwa na umri wa miaka 117, kumbukumbu zinaonesha alizaliwa March 5 1898, ameacha watoto watatu na wajukuu wanne.
Wakati wa birthday yake mwaka huu alisema siri ya kuishi muda mrefu ni ratiba yake ya kulala kwa saa nane kila siku na kula sushi, chakula alichokipenda zaidi
.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :