MAUMIVU YA MACHO
Yako magonjwa ya aina nyingi ya matatizo ya macho kutegemeana na chanzo cha tatizo.japo ntagusia kuhusu matatizo mengine ya macho ila ntaongelea zaidi JICHO KUCHOMA CHOMA NA KUPELEKEA MAUMIVU
SABABU YA TATIZO
- Kuangalia sana tv,simu au kompyuta
- Kusoma kwa muda mrefu
- Ukosefu wa usingizi
- kutumia vikuza muonekano (lenses)
TIBA YAKE
© tibazakissuna.blogspot.com
> Tumia MAJI YA BARIDI kuoshea uso
> Tumia ROSE WATER kusafishia jicho kwa kuweka kwenye pamba ukikosa tumia matone ya SHUBIRI
> ASALI na MAJI changanya kwa ujazo sawa kisha pakaa kwenye jicho likiwa lime jifunga
> Kata kipande kidogo cha TANGO kisha weka kwenye jichoukiwa umelifunga ukiwa umejilaza chali kwa dakika 15
> Unaweza kukosa vyote sio mbaya pia kama utafunga jicho na kujiweka kijiko juu yake kwani ubaridi wake huleta nafuu
MATATIZO MENGINE YA JICHO
> JICHO LILILO VIMBA NA KUA JEUSI KANDA KWA BARAFU NDANI YA DAKIKA KUMI NA TANO AU 20 KILA SIKU
> JICHO LINALO UMA KUTOKANA NA SABUNI BASI MIMINIA MAJI YATIRIRIKIE KWENYE JICHO NA KUSHUKA CHINI
> KWA JICHO LILOKUA KAVU CHUKUA KITAMBAA CHA MAJI YA MOTO KISHA KANDA JICHO
> KWA JICHO LILIO INGILIWA NA PILIPILI BASI WEKA MAZIWA KWENYE KIKOMBE KISHA FUNGUA JICHO MAZIWA YAINGIE KWENYE JICHO UKIKOSA CHANGANYA CHUMVI NA MAJI KISHA SAFISHIA JICHO KWA MAJI HAYO
> KWA VIJIPU MBUZI VILIVYO KWENYE JICHO OSHEA USO KWA MAJI YA CHUMVI YENYE VUGU VUGU
TIBA KWA KUPITIA VYAKULA
- KUNYWA JUISI YA KAROTI KWA WINGI
- KULA VYAKULA VYA ASILI YA KIJANI
- KULA SAANA MBEGU ZA ALIZETI