Propellerads

Monday, January 2, 2017

mpoma

RAIS MAGUFULI AWASILI BUKOBA

Propellerads

Pin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatimaye Rais John Magufuli amewasili mjini Bukoba na kushiriki misa ya kufungua mwaka mpya 2017 katika Kanisa la Kuu Katoliki mjini Bukoba.
Katika misa hiyo iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo la Bukoba, Mhashamu Desderius Rwoma, Dk Magufuli amewataka viongozi wa dini wamvumilie kwa kuwa fedha zitaendelea kupotea hata kanisani.

Rais Magufuli akisali katika kaburi la la Marehemu Kadinali Rugambwa mara baada ya Ibada.
Amesema zamani zilikuwepo fedha za hovyo hovyo na sasa anachotaka ni kila mtu aendelee kula anachostahili.Amesema uchumi wa nchi unaendelea kuimarika na Serikali imedhibiti mfumuko wa bei.
Akiwa Kagera, Rais Magufuli atapata fursa ya kuwasalimia wananchi waliopata maafa ya tetemeko la ardhi Septemba mwaka jana.
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :