Propellerads

Saturday, October 29, 2016

mpoma

Kundi la ISIS laua watu 232

Propellerads

Kundi la ISIS laua watu 232 nchini Iraq

Kundi la kigaidi la ISIS limewaua watu 232 jirani na mji wa Iraqi, Mosul na kushikilia makumi kwa maelfu ya watu linalowatumia kama ngao ya binadamu dhidi ya majeshi ya Iraqi na yale ya Umoja wa Mataifa yanaousogelea mji huo.

Kundi hilo limefanya mauaji hayo Jumatano hii kwa kuwaadhibu watu waliokiuka maagizo yake.
Msemaji wa shirika la haki za binadamu la umoja wa mataifa aliiambia CNN kuwa ISIS waliua raia 42 na wanajeshi wa zamani wa Iraq 190 waliokataa kujiunga nao

KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :