Watu wa fani na rika mbalimbali wameendelea kumpongeza kupitia mitandao ya kijamii.
“Ninamshukuru Mungu kufikia siku yangu ya kuzaliwa,ninawashukuru watanzania nyote kwa kuniombea,” ameandika kwenye Twitter. “Nitafanya kazi kwa moyo nanguvu zangu zote,” ameongeza.
“Ninaahidi kuendelea kufanya kazi kwa moyo na nguvu zangu zote kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Mungu Ibariki Tanzania.”
Happy Birthday mheshimiwa Rais Magufuli