KAMA NDOTO ZAKO NI KUWA NA NYUMBA YA KISASA CHEKI RAMANI YA NYUMBA ZINAZOTESA KWASASA DUNIANI!!
Sio kila anaetazama hii post anao uwezo wa kujenga nyumba za namna hii ila kua uwezekano na nyumba ndogo ya saizi yako ukaweza kuibadilisha kwenye sehemu flani baada ya kutazama mpangilio wa hizi za kisasa kuanzia chumbani, sebuleni, garden, taa zilivyowekwa, jikoni na sehemu nyingine.
Hii nyumba ya kwanza hapa chini ipo Slovakia.
Nyumba namba 2 ndio inayofata na ilijengwa mwaka 2012 Sao Paulo Brazil.