Propellerads

Wednesday, October 19, 2016

mpoma

COSTA YAUWA MBEYA

PropelleradsWatu wanne wamefariki dunia, kati yao wawili wamekufa papo baada ya basi dogo la abiria aina ya Coaster linalofanya safari zake kati ya Jiji la Mbeya na Kijiji cha Igundu wilayani Chunya kufeli breki na kupinduka kwenye Mteremko mkali eneo la Maji Mazuri, barabara kuu ya Mbeya - Chunya.
IMG_20161019_114344.jpeg KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI. Propellerads

mpoma

About mpoma

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :