MUZIKI WA SINGELI WAMTISHA ALIKIBA
ICON wa muziki wa Bongofeva Alikiba amesema ni shabiki na mpenzi mkubwa wa mziki wa singeli lakini maneno na lugha wanazotumia katika nyimbo hizo zinamfanya asiufurahie.
Anasema licha ya kuupenda lakini huwa hasikilizi sana kwa kuhofia kumuathiri katika uandishi wake naye akajikuta anaandika maneno hayo ya wanasingeli ambayo ni lugha zisizokuwa na staha inayotakiwa.
Kiba amedokeza ujio wa video ya aje remix imeshakamilika ambayo wameifanya na rapa mnigeria M.I lakini ilibidi waongeze baadhi ya vionjo kwenye wimbo ili kuutofautisha na ule uliovuja.
Amedokeza video ina kucheza kwingi na anaonekana msichana mmoja tu na alikiba kwenye video hiyo
Alikibakwasasa yuko kwenye vinyang'anyiro vya tuzo kubwa Africa na kimataifa..
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.