Diamond kaonesha nyumba aliyomnunulia Zari Afrika Kusini
Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zari ambayo amemfanyia kama suprise aliyomnunulia nchini South Afrika, na kuweka caption nzito na hivi ndivyo alivyotiririka.
Birthday ya Zari yaingia na neema, Diamond aonyesha nyumba ya familia aliyonunua AS
Mkali wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz Alhamisi hii siku moja kabla ya birthday ya mama watoto wake Zari, ameonyesha nyumba ya familia aliyonunua Afrika Kusini.
Muimbaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wenye mafanikio makubwa hapa nchini, hakuweka wazi nyumba hiyo imegharimu kiasi gani kuinunua.
“Wanakazana kujisifu matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga. Halafu leo yule yule wanaemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa masikini,...

PICHA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIMPIKIA ZARI NA KUMLISHA KATIKA NYUMBA YAKE MPYA
maneno ya Zarinah: Blessed is the woman who has a man that can cook...
Nina nyumba Afrika Kusini – Diamond
Diamond Platnumz amesema ana nyumba Afrika Kusini.
Akiongea kwenye Stori Tatu ya Planet Bongo, inayoruka kupitia EA Radio, Diamond alisema alinunua nyumba South kwasababu haoni umuhimu wa kununua nyumba Marekani kama wasanii wengi wakubwa wa Afrika wanavyopenda kufanya.
“Nina nyumba South Africa, kwa sababu nina familia South Africa. Kwahiyo ni lazima ninunue nyumba south Africa, lakini sina sababu ya kusema ninunue nyumba Marekani. Ninunue nyumba Marekani kwa sababu gani? Kwanza sipapendi,...

Picha: Zari The Bosslady na Diamond Platnumz ni Kimye wa Afrika!
Kabla ya kukutana na Diamond Platnumz, Zari the Bosslady alikuwa tayari ni mwanamke maarufu nchini Uganda. Utajiri na urembo wake ulimfanya aitwe Kim Kardashian wa Uganda. Zari anamiliki msululu wa magari ya kifahari yakiwemo Range Rovers, Bentley, Limousine, Mercedes Benz, Chrysler na mengine ambapo mengi kati yake yana plate number za jina lake. Anamiliki mijengo […]
Diamond na AKA washoot video ya collabo yao Afrika Kusini
Rapper Kiernan Jarryd Forbes, maarufu kama AKA na staa wetu Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz wameingia location kushoot video ya collabo yao.
PICHA & VIDEO: Diamond Platnumz kabomoa nyumba yao ya zamani Tandale DSM na kuijenga hii mpya.
Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumz alikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi hapa chini. #AFTER Na huu ndio Muonekano Mpya wa Nyumbani kwetu TANDALE sasa….. Hongera sana mama […]
The post PICHA & VIDEO: Diamond Platnumz kabomoa nyumba yao ya zamani Tandale DSM na kuijenga hii mpya. appeared first on...

PICHA ZA DIAMOND NA WAJE WAKISHUTI VIDEO YA COLLABO MJINI CAPE TOWN NCHINI AFRIKA KUSINI
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.Diamond na Waje Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigiaDiamond na Waje wakiwa location
KUPATA KAZI POPOTE NCHINI BONYEZA 'HAPA' CHINI.